sw_deu_text_ulb/01/19.txt

1 line
231 B
Plaintext

\v 19 Tulisafiri toka Horebu na kwenda kupitia jangwa lile kubwa lote na lenye kutisha lile uliloliona, katika njia yetu kuelekea nchi ya milima huko Amorites, kama Yahweh Mungu wetu alivyotuamuru sisi, na tukaja Kadeshi ya Barnea.