1 line
302 B
Plaintext
1 line
302 B
Plaintext
\c 1 \v 1 \v 2 Haya ni maneno aliyoongea Musa kwa Waisraeli wote ng'ambo ya jangwa la Yordani, katika tambarare mwa mto wa Yordani juu ya Suph, katikati mwa Paran, Topheli, Laban, Hazeroth, na Di Zahab. Ni safari ya siku kumi na moja toka Horabu kwa kupitia njia ya mlima wa Seir kwenda Kadeshi Barnea. |