sw_deu_text_ulb/04/21.txt

1 line
320 B
Plaintext

\v 21 \v 22 Yahweh alinikasirikia mimi kwa sababu yenu; aliapa kwamba nisiende ng'ambo ya Yordani, na kwamba nisiende katika nchi nzuri, nchi ambayo Yahweh Mungu wenu anawapa ninyi kama urithi. Badala yake, ninapaswa kufa katika nchi hii, sipaswi kwenda ng'ambo ya Yordani, lakini utaenda ng'ambo na kuimiliki nchi nzuri