sw_deu_text_ulb/28/15.txt

1 line
165 B
Plaintext

\v 15 Lakini usiposikiliza sauti ya Yahwe Mungu wako, na kushikilia amri zake zote na sheria zake ninazokuamuru leo, basi laana hizi zote zitakuja kwako na kukupita.