sw_deu_text_ulb/20/05.txt

1 line
198 B
Plaintext

\v 5 Maakida wanapaswa kuzungumza na watu na kusema, "Ni mtu yupi aliyejenga nyumba mpya na hajaiweka wakfu? Acha aende na arudi nyumbani kwake, ili kwamba asife vitani na mtu mwingine aiweke wakfu.