sw_deu_text_ulb/12/03.txt

6 lines
562 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 3 Na mtazivunja madhabahu zao chini, mtaharibu kwa vipandepande nguzo zao za mawe, na kuchoma ncha za Asherahi, mtazikata sanaa za kuchongwa za miungu yao na kuangamiza jina lao nje ya eneo hilo. \v 4 Hamtamwabudu Yahwe Mungu wenu kama hivyo.
=======
\v 3 \v 4 Na mtazivunja madhabahu zao chini, mtaharibu kwa vipandepande nguzo zao za mawe, na kuchoma ncha za Asherahi, mtazikata sanaa za kuchongwa za miungu yao na kuangamiza jina lao nje ya eneo hilo. Hamtamwabudu Yahwe Mungu wenu kama hivyo.
>>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc