sw_deu_text_ulb/06/20.txt

1 line
473 B
Plaintext

\v 20 Wakati mwana wako auliza kwa wakati unaokuja, kusema,"Ni zipi amri za gano, sheria, na amri zingine ambazo Yahwe Mungu wetu alituamuru? \v 21 Basi utasema kwa mwana wako, tulikuwa watumwa wa Farao huko Misri, Yahwe alitutoa Misri kwa mkono wa uweza, \v 22 na alionesha ishara na maajabu, makuu na makali, Misri kwa Farao, na kwa nyumba yake yote, mbele ya macho yenu, \v 23 na alitutoa kutoka huko, ili kwamba atulete ndani, kutupa nchi ambayo aliaapa kwa baba zetu.