sw_deu_text_ulb/06/16.txt

1 line
171 B
Plaintext

\v 16 Hamtamjaribu Yahwe Mungu wenu kama mlivyomjaribu huko Massah. \v 17 Kwa bidii mtayashika maagizo ya Yahwe Mungu wenu, maagizo yake makini, na amri ambazo amewaamuru.