1 line
348 B
Plaintext
1 line
348 B
Plaintext
\v 34 Yahwe alisikia sauti ya maneno yenu na alikasirika; aliapa na kusema, \v 35 Hakika hakuna mmoja ya hawa watu wa kizazi hiki kiovu wataona nchi nzuri ambayo niliapa kuwapa babu zao, \v 36 kasoro Kalebu mwana wa Jephuneeh; yeye ataiona. Yeye nitampa nchi ambayo amekwisha kuikanyanga, na watoto wake, kwa sababu alimfuata Yahwe kwa ukamilifu.' |