\v 13 \v 14 Haupaswi kuwa na mizani ya uzito tofauti katika mfuko wako, mkubwa na mdogo. Hautakiwi kuwa na vipimo tofauti ndani ya nyumba yako, vikubwa na vidogo.