1 line
411 B
Plaintext
1 line
411 B
Plaintext
\v 21 \v 22 \v 23 Unapofanya kiapo kwa Yahwe Mungu wako, haupaswi kukawia kuikamilsha, kwa maana Yahwe Mungu wako hakika atadai kiapo hicho; itakuwa dhambi kako usipokamilisha. Lakini iwapo utajizuia kutoa kiapo, haitakuwa dhambi kwako. Kile ambacho kimetoka kinywani mwako unapaswa kukifuata na kukitekeleza; kulingana na kiapo ulichotamka kwa Yahwe Mungu wako, chochote ulichotamka kwa hiari kwa kinywa chako. |