\v 5 \v 6 Lakini Yahwe Mungu wako hakumsikiliza Balaamu; badala yake, Yahwe Mungu wako aligeuza laana kuwa baraka kwenu, kwa sababu Yahwe Mungu wako aliwapenda. Hamtakiwi kutafuta amani au mafanikio yao, katika siku zenu zote.