1 line
338 B
Plaintext
1 line
338 B
Plaintext
\v 29 \v 30 Itakuwa wakati Yahwe Mungu wenu anawaleta ninyi katika nchi ambayo mnaenda kumiliki kwamba mtaweka baraka juu ya mlima Gerizimu na laana juu ya mlima Ebali. Hawako ng'ambo ya pili zaidi ya Yordani, magharibi mwa barabara la magharibi, katika nchi ya wanakanani wanaoishi Arabah, juu dhidi ya Gilgali, kando ya mialo ya Moreh? |