1 line
418 B
Plaintext
1 line
418 B
Plaintext
\v 20 \v 21 \v 22 Zaidi ya yote, Yahweh Mungu wenu atatuma nyigu miongoni mwao, mpaka wale waliobaki na wale wanaojificha wenyewe mbele yako waangamizwa mbele ya uwepo wako. Hamtatishikeni nao, kwa kuwa Yahweh Mungu wenu yuko miongoni mwenu, Mungu mkuu na wa kuogofya. Yahweh Mungu wenu atayaondoa mataifa mbele zenu kidogo kidogo. Hamtayashinda yote kwa wakati mmoja, au wanyama wa mwity watakuwa wengi karibu yenu. |