1 line
330 B
Plaintext
1 line
330 B
Plaintext
\v 39 \v 40 Jua hivi leo, weka kwenye moyo wako, Yahweh ni Mungu juu ya mbingu na chini ya dunia, hakuna mwingine yeyote. Mtazishika sheria zake na amri zake ambazo nawaamuru leo, ili kwamb iweze kuwa vizuri kwenu na watoto wenu baada yenu, na kwamba muweze kuongeza siku zenu katika nchi ambayo Yahweh Mungu wenu amewapa milele." |