sw_deu_text_ulb/04/23.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 23 \v 24 Zingatia ninyi wenyewe, ili kwamba msisahau agano la Yahweh Mungu wenu, alilolifanya nanyi, na kuchonga mfano wa sanamu katika uombo la kitu chochote ambacho Yahweh Mungu wenu amewakataza kufanya. Kwa kuwa Yahweh Mungu wenu ni moto ulao, Mungu wa wivu.