1 line
503 B
Plaintext
1 line
503 B
Plaintext
\v 9 \v 10 Zingatia pekee na kuwa makini kujilinda, ili usisahau mambo ambayo macho yako yameona, ili kwamba yasiuwache moyo wako kwa siku zote za maisha yako. Badala yake, yafanye yajulikane kwa watoto wako na wana watoto wako. Kuhusu siku ile uliyosimama mbele ya Yahweh Mungu wako katika Horeb, wakati Yahweh alisema nami, 'Nikusanyie watu, na nitawafanya wasikia maneno yangu, ili kwamba waweze kujifunza kuniogopa mimi siku zote ambazo wanazoishi duniani, na kwamba waweze kuwafundisha watoto wao. |