1 line
281 B
Plaintext
1 line
281 B
Plaintext
\v 8 \v 9 Kwa hiyo shikeni amri zote ambazo ninwaamuru leo, kwamba muweze kuwa imara, na kuingia na kuimiliki nchi, ambayo unaenda zaid kuimiliki; na kwamba uweze kuongeza siku zako katika nchi ambayo Yahwe aliapa kwa baba zako kuwapa na uzao wao, nchi itiririkayo maziwa na asali. |