1 line
305 B
Plaintext
1 line
305 B
Plaintext
\v 28 \v 29 Mtaniuzia mimi chakula kwa pesa, ili kwamba niweze kula, nipe maji kwa pesa, ili kwamba niweze kunywa, pekee niruhusu kupitia kwa miguu yangu, kama uzao wa Esau wanaoishi Seiri, na Moabu wanaoishi Ari, ulifanya kwangu, mpaka nivuke Yordani ndany ya nchi ambayo Yahweh Mungu wetu anatupa sisi'. |