\v 10 \v 11 Hapo awali waliishi Waemi, watu kama wakuu, wengi, na warefu kama Waanaki; hawa pia wanafikiriwa kuwa Rephaimu, kama Waanaki, lakini Wamoabi huwaita Waemi.