sw_deu_text_ulb/09/27.txt

1 line
403 B
Plaintext

\v 27 \v 28 \v 29 Akilini waite watumishi wenu Ibrahimu, Isaka, na Yakobo; msiangalie ukaidi wa watu hawa, wala maovu yao, dhambi zao, ili kwamba nchi ambayo ulitutoa iseme, "Kwa sababu Yaghwe hakuweza kuwaleta katika nchi aliyowaahadia, na kwa sababu aliwachukia, amewaleta nje kuwauwa katika jangwa. Bado ni watu wa kwenu na urithi wenu, ambao uliwatoa kwa nguvu zako kuu na kwa kuonesha mamlaka yako,