\v 21 Nilichukua dhambi zenu, ndama mliye kywa mmentengeza, na kumchoma, kumpiga,kumweka chini kuwa mdogo, mpaka ilipokuwa laini kama vumbi. Nilirusha vumbi lake katika mkondo ambao ulitiririka chini kutoka mlimani.