1 line
309 B
Plaintext
1 line
309 B
Plaintext
\v 19 \v 20 Kwa kuwa nilikuwa nimeogopa hasira na gadhabu kali ambayo Yahweh alikuwa amekasirika vya kutosha dhidi yenu kuwaangamiza. Lakini Yahweh alinisikiliza mimi kwa wakati hup pia. Yahweh alikuwa na hasira nyingi kwa Aaroni kwa kusudi la kumuangamiza; pia niliomba kwa ajili ya Aaroni kwa wakati huohuo. |