sw_deu_text_ulb/09/15.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 15 \v 16 Kwa hiyo niligeuka nyuma na kushuka chini ya mlima, na mlima ulikywa unaungua. Mbao mbili za agano zilikuwa kwenye mikono yangu. Nilitazama, na tazama, mlikuwa mmefanya dhambi dhidi ya Yahweh Mungu wenu. Mmejitengenezea wenyewe ndama. Kwa haraka mmegeuka toka njia ambayo Yahweh alikuwa amewaamuru.