sw_deu_text_ulb/09/13.txt

1 line
260 B
Plaintext

\v 13 \v 14 Zaidi ya hayo, Yahweh alizungumza na mimi na kusema, "Nimewaona watu hawa; ni watu wakaidi. Acha mimi peke yangu, ili kwamba niweze kuwaangamiza na kulifuta jina lao kutoka chini ya mbingu, na nitawafanya ninyi taifa lenye nguvu na kuu kuliko wao."