\v 6 Kwa hiyo jua, kwamba Yahweh Mungu wenu hatawapa ninyi nchi hii nzuri kuimiliki kwa sababu ya uadilifu wenu kwa kuwa ni watu wakaidi.