1 line
294 B
Plaintext
1 line
294 B
Plaintext
\v 5 Si kwa sababu ya uadilifu wenu au unyofu wa mioyo yenu ambayo mnaenda kuingia kumiliki nchi yao, lakini ni kwa sababu ya maovu ya mataifa haya ambayo Mungu anwaondowa ktuoka mbele zenu, na kusudi kwamba weze kufanya kuwa kweli neno ambalo aliapa kwa mababu zenu, Ibrahimu, Isaka na Yakabo. |