1 line
318 B
Plaintext
1 line
318 B
Plaintext
\c 9 \v 1 \v 2 Sikiliza, Israeli; umekaribia kuvuka ng'ambo ya pili ya Yordani leo, kuyafukuza mataifa yenye nguvu na ushujaa kuliko ninyi, na miji ambayo ni mikuu na yenye boma iliyoenda juu, watu wakuu na warefu, wana wa Anakimu, ambaye mnajua, na yule mliosikia watu wakisema, 'Nani atasimama mbele ya wana wa Anak? |