sw_deu_text_ulb/27/16.txt

1 line
185 B
Plaintext

\v 16 \v 17 Alaaniwe mwanamume atakayemuaibisha baba yake au mama yake. Kisha watu wote waseme, 'Amina'. Alaaniwe mwanamume anayetoa alama ya ardhi.' Kisha watu wote na waseme, 'Amina'.