1 line
352 B
Plaintext
1 line
352 B
Plaintext
\c 15 \v 1 \v 2 \v 3 Kila mwisho mwa kila miaka sabab, unapaswa kufuta madeni. Hii ni tabia ya ukombozi. Kila mkopeshaji atafuta kile alichompa jirani yake, hata dai kutoka kwa jirani yake au ndugu yake kwa sababu ufutaji wa madeni wa Yahwe umetangazwa. Kutoka kwa mgeni unaweza kuidai; lakini kwa chochote chako kilicho na ndugu yako unapaswa ukitowe. |