sw_deu_text_ulb/05/09.txt

1 line
292 B
Plaintext

\v 9 \v 10 Hautavisujudia au kuvitumikia, kwa kuwa Mimi, Yahweh Mungu wako, ni Mungu wa wivu, Nawaadhibu uovu wa mababu kwa kuleta adhabu juu ya watoto, kwa kizazi cha tatu na cha nne cha wale wanichukiao, na kuonesha agano la uaminifu kwa maelfu, kwa wale wanaonipenda na kushika amri zangu.