1 line
405 B
Plaintext
1 line
405 B
Plaintext
\v 12 \v 13 \v 14 Kama ndugu yako, ni mwebrania wa kiume au mwebrania wa kike, ameuzwa kwako na anakutumikia kwa miaka saba, basi katika mwaka wa saba unapaswa umwache aende zake huru. Unapomwacha aende zake huru, usimwache aende mkono mtupu. Unapaswa kwa ukarimu hutoe kwake kutoka mifugo yako, kutoka pura iliyo chini, na kinu choako cha mvinyo. Kama Yahwe Mungu wako alivyokubariki, unapaswa umpe yeye. |