sw_deu_text_ulb/11/20.txt

1 line
238 B
Plaintext

\v 20 \v 21 Utayaandika kwenye miimo ya milango ya nyumba zenu na kwenye malango yenu, kwamba siku zenu na siku za watoto wenu ziweze kuongezeka katika nchi ambayo Yahwe aliapa kwa mababu zenu kuwapa, kwa maadamu mbingu ziko juu ya ardhi.