sw_deu_text_ulb/30/15.txt

1 line
339 B
Plaintext

\v 15 Tazama, leo nimeweka mbele yako uzima na wema, mauti na uovu. \v 16 Iwapo utatii maagizo ya Yahwe Mungu wako, ambayo ninakuamuru leo kumpenda Yahwe Mungu wako, kutembea katika njia zake, na kushikilia amri zake, kanuni zake, na sheria zake, utaishi na kuongezeka, na Yahwe Mungu wako atakubariki katika nchi ambayo unaingia kumiliki.