1 line
294 B
Plaintext
1 line
294 B
Plaintext
\v 6 Hawajaona nini Yahwe alichofanya kwa Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu mwana wa Reubeni; namna dunia ilifungua kinywa chake na kuwameza, nyumba zao, mahema yao, na kila kitu hai kilichowafuata, katikati mwa Israeli yote. \v 7 Lakini macho yenu yameona kazi yote kuu ya Yahwe aliyoifanya. |