\v 35 \v 36 Kwenu haya yalioneshwa, ili muweze kujua kuwa Yahweh ni Mungu, na kwamba hakuna mwingine zaidi yake. Toka mbinguni alifanya msikie sauti yake, ili kwamba aweze kuwaelekeza, juu ya nchi aliwafanya muone moto wake mkuu, mlisikia maneno yake toka katikati ya moto.