<<<<<<< HEAD \v 15 Hata hivyo, mtaweza kuua na kula wanyama ndani ya malango yenu, kama mnavyotaka, kupokea baraka ya Yahwe Mungu wenu kwa ajili ya yote amewapa; na watu wasio safi na safi wote wanaweza kula, wanyama kama vile paa na kulungu. \v 16 Lakini hamtakula damu, mtaimwaga kwenye ardhi kama maji. ======= \v 15 \v 16 Hata hivyo, mtaweza kuua na kula wanyama ndani ya malango yenu, kama mnavyotaka, kupokea baraka ya Yahwe Mungu wenu kwa ajili ya yote amewapa; na watu wasio safi na safi wote wanaweza kula, wanyama kama vile paa na kulungu. Lakini hamtakula damu, mtaimwaga kwenye ardhi kama maji. >>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc