\v 14 \v 15 Tazama, kwa Yahwe Mungu wenu mbingu ni zake na mbingu za mbingu, dunia, vyote vilivyomo. Yahwe pekee alichukua furaha kwa baba zenu ili kwamba awapende, na aliwachagua ninyi, uzao wao, baada yao, zaidi kuliko ya watu wengine wowote, kama afanyavyo leo.