From fc88369a02c1739d8914e149e543608b33a5ac1a Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: lversaw Date: Tue, 26 Feb 2019 12:23:58 -0700 Subject: [PATCH] Tue Feb 26 2019 12:23:57 GMT-0700 (Mountain Standard Time) --- 12/08.txt | 6 +----- 12/10.txt | 6 +----- 12/13.txt | 6 +----- 12/15.txt | 6 +----- 12/18.txt | 6 +----- 12/21.txt | 6 +----- 12/23.txt | 6 +----- 12/26.txt | 6 +----- 12/29.txt | 6 +----- 12/31.txt | 6 +----- 13/01.txt | 6 +----- 13/04.txt | 6 +----- 13/06.txt | 6 +----- 13/08.txt | 6 +----- 13/10.txt | 6 +----- 13/12.txt | 6 +----- 13/15.txt | 6 +----- 13/17.txt | 6 +----- 14/01.txt | 6 +----- 14/03.txt | 6 +----- 14/06.txt | 6 +----- 21 files changed, 21 insertions(+), 105 deletions(-) diff --git a/12/08.txt b/12/08.txt index c5b7ca1..25d76fa 100644 --- a/12/08.txt +++ b/12/08.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 8 Hamtafanya mambo yote ambayo tunafanya hapa leo; sasa kila moja anafanya chochote kile kizuri machoni pake, \v 9 kwa kuwa bado hamjapumzika, kwa urithi ambao Yahwe Mungu wenu anawapa. -======= -\v 8 \v 9 Hamtafanya mambo yote ambayo tunafanya hapa leo; sasa kila moja anafanya chochote kile kizuri machoni pake. Kwa kuwa bado hamjapumzika, kwa urithi ambao Yahwe Mungu wenu anawapa. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 8 Hamtafanya mambo yote ambayo tunafanya hapa leo; sasa kila moja anafanya chochote kile kizuri machoni pake, \v 9 kwa kuwa bado hamjapumzika, kwa urithi ambao Yahwe Mungu wenu anawapa. \ No newline at end of file diff --git a/12/10.txt b/12/10.txt index 97c5563..4da6b04 100644 --- a/12/10.txt +++ b/12/10.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 10 Lakini pindi mnaenda ng'ambo ya pili ya Yordani na kuishi ndani ya nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anasababisha ninyi kurithi, na wakati awapa pumziko kutoka kwa maadui zenu wanaowazunga karibu, ili kusudi muishi kwa usalama, \v 11 kisha itakuwa eneo ambalo Yahwe Mungu wenu atachagua kusababisha jina lake kuishi, huko mtaleta yote ninayowaamuru; sadaka za kuteketezwa, dhabihu zenu, zaka zenu, sadaka zilizotolewa kwa mkono wenu, na sadaka za chaguo lenu kwa ajili ya nadhiri mtakazotoa kwa Yahwe. -======= -\v 10 \v 11 Lakini pindi mnaenda ng'ambo ya pili ya Yordani na kuishi ndani ya nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anasababisha ninyi kurithi, na wakati awapa pumziko kutoka kwa maadui zenu wanaowazunga karibu, ili kusudi muishi kwa usalama, kisha itakuwa eneo ambalo Yahwe Mungu wenu atachagua kusababisha jina lake kuishi, huko mtaleta yote ninayowaamuru; sadaka za kuteketezwa, dhabihu zenu, zaka zenu, sadaka zilizotolewa kwa mkono wenu, na sadaka za chaguo lenu kwa ajili ya nadhiri mtakazotoa kwa Yahwe. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 10 Lakini pindi mnaenda ng'ambo ya pili ya Yordani na kuishi ndani ya nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anasababisha ninyi kurithi, na wakati awapa pumziko kutoka kwa maadui zenu wanaowazunga karibu, ili kusudi muishi kwa usalama, \v 11 kisha itakuwa eneo ambalo Yahwe Mungu wenu atachagua kusababisha jina lake kuishi, huko mtaleta yote ninayowaamuru; sadaka za kuteketezwa, dhabihu zenu, zaka zenu, sadaka zilizotolewa kwa mkono wenu, na sadaka za chaguo lenu kwa ajili ya nadhiri mtakazotoa kwa Yahwe. \ No newline at end of file diff --git a/12/13.txt b/12/13.txt index a43db88..33eb3f5 100644 --- a/12/13.txt +++ b/12/13.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 13 Uwe makini mwenyewe kwamba usitoe sadaka zako za kuteketezwa kila eneo unaloona; \v 14 lakini ni katika eneo hilo ambalo Yahwe atawachagua miongoni moja kati ya makabila yenu ambalo litatoa sadaka ya kuteketezwa, na huko mtafanya kila kitu ninachokuamuru. -======= -\v 13 \v 14 Uwe makini mwenyewe kwamba usitoe sadaka zako za kuteketezwa kila eneo unaloona; lakini ni katika eneo hilo ambalo Yahwe atawachagua miongoni moja kati ya makabila yenu ambalo litatoa sadaka ya kuteketezwa, na huko mtafanya kila kitu ninachokuamuru. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 13 Uwe makini mwenyewe kwamba usitoe sadaka zako za kuteketezwa kila eneo unaloona; \v 14 lakini ni katika eneo hilo ambalo Yahwe atawachagua miongoni moja kati ya makabila yenu ambalo litatoa sadaka ya kuteketezwa, na huko mtafanya kila kitu ninachokuamuru. \ No newline at end of file diff --git a/12/15.txt b/12/15.txt index 59918b8..ab7c7eb 100644 --- a/12/15.txt +++ b/12/15.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 15 Hata hivyo, mtaweza kuua na kula wanyama ndani ya malango yenu, kama mnavyotaka, kupokea baraka ya Yahwe Mungu wenu kwa ajili ya yote amewapa; na watu wasio safi na safi wote wanaweza kula, wanyama kama vile paa na kulungu. \v 16 Lakini hamtakula damu, mtaimwaga kwenye ardhi kama maji. -======= -\v 15 \v 16 Hata hivyo, mtaweza kuua na kula wanyama ndani ya malango yenu, kama mnavyotaka, kupokea baraka ya Yahwe Mungu wenu kwa ajili ya yote amewapa; na watu wasio safi na safi wote wanaweza kula, wanyama kama vile paa na kulungu. Lakini hamtakula damu, mtaimwaga kwenye ardhi kama maji. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 15 Hata hivyo, mtaweza kuua na kula wanyama ndani ya malango yenu, kama mnavyotaka, kupokea baraka ya Yahwe Mungu wenu kwa ajili ya yote amewapa; na watu wasio safi na safi wote wanaweza kula, wanyama kama vile paa na kulungu. \v 16 Lakini hamtakula damu, mtaimwaga kwenye ardhi kama maji. \ No newline at end of file diff --git a/12/18.txt b/12/18.txt index 6ac381c..9ca4754 100644 --- a/12/18.txt +++ b/12/18.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 18 Badala yake, mtakula mbele ya Yahwe Mugu wenu katika eneo ambalo Yahwe Mungu atachagua- nyie, mtoto wenu, binti yenu, mjakazi wa kiume, mjakazi wa kike, na Mlawi aliye malangoni mwenu; mtafurahi mbele ya Yahwe Mungu wenu kuhusu kila kitu ambacho mnaweka mkono wenu. \v 19 Muwe makini wenyewe ili kwamba msimwache Mlawi maadamu mnaishi kwenye nchi yenu. -======= -\v 18 \v 19 Badala yake, mtakula mbele ya Yahwe Mugu wenu katika eneo ambalo Yahwe Mungu atachagua- nyie, mtoto wenu, binti yenu, mjakazi wa kiume, mjakazi wa kike, na Mlawi aliye malangoni mwenu; mtafurahi mbele ya Yahwe Mungu wenu kuhusu kila kitu ambacho mnaweka mkono wenu. Muwe makini wenyewe ili kwamba msimwache Mlawi maadamu mnaishi kwenye nchi yenu. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 18 Badala yake, mtakula mbele ya Yahwe Mugu wenu katika eneo ambalo Yahwe Mungu atachagua- nyie, mtoto wenu, binti yenu, mjakazi wa kiume, mjakazi wa kike, na Mlawi aliye malangoni mwenu; mtafurahi mbele ya Yahwe Mungu wenu kuhusu kila kitu ambacho mnaweka mkono wenu. \v 19 Muwe makini wenyewe ili kwamba msimwache Mlawi maadamu mnaishi kwenye nchi yenu. \ No newline at end of file diff --git a/12/21.txt b/12/21.txt index 5f53e64..50038e4 100644 --- a/12/21.txt +++ b/12/21.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 21 Kama eneo ambalo Yahwe Mungu wenu achagua kuliweka jina lake ni mbali kutoka kwenu, basi mtaua baadhi ya mifugo yenu na wanyama wenu ambao Yahwe amewapa, kama nilivyowaamuru: hivyo mnaweza kula ndani ya malango yenu, kama tamaa za roho zenu. \v 22 Kama paa na Kulungu wanaliwa, hivyo mtakula watu wasio safi na wasafi wanaweze kula kadhalika. -======= -\v 21 \v 22 Kama eneo ambalo Yahwe Mungu wenu achagua kuliweka jina lake ni mbali kutoka kwenu, basi mtaua baadhi ya mifugo yenu na wanyama wenu ambao Yahwe amewapa, kama nilivyowaamuru: hivyo mnaweza kula ndani ya malango yenu, kama tamaa za roho zenu.Kama paa na Kulungu wanaliwa, hivyo mtakula watu wasio safi na wasafi wanaweze kula kadhalika. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 21 Kama eneo ambalo Yahwe Mungu wenu achagua kuliweka jina lake ni mbali kutoka kwenu, basi mtaua baadhi ya mifugo yenu na wanyama wenu ambao Yahwe amewapa, kama nilivyowaamuru: hivyo mnaweza kula ndani ya malango yenu, kama tamaa za roho zenu. \v 22 Kama paa na Kulungu wanaliwa, hivyo mtakula watu wasio safi na wasafi wanaweze kula kadhalika. \ No newline at end of file diff --git a/12/23.txt b/12/23.txt index 680f6dd..a016bc1 100644 --- a/12/23.txt +++ b/12/23.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 23 Lakini muwe na uhakika kwamba hamtumii damu, kwa kuwa damu ni uhai, hamtakula uhai pamoja na nyama. \v 24 Hamtakula, mtaimwaga nje kwenye ardhi kama maji. \v 25 Hamtakula, ili kwamba iweze kuwa vizur kwenu, na watoto wenu baada yenu, wakati mtafanya kile kilicho sahihi machoni pa Yahwe. -======= -\v 23 \v 24 \v 25 Lakini muwe na uhakika kwamba hamtumii damu, kwa kuwa damu ni uhai, hamtakula uhai pamoja na nyama. Hamtakula, mtaimwaga nje kwenye ardhi kama maji. Hamtakula, ili kwamba iweze kuwa vizur kwenu, na watoto wenu baada yenu, wakati mtafanya kile kilicho sahihi machoni pa Yahwe. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 23 Lakini muwe na uhakika kwamba hamtumii damu, kwa kuwa damu ni uhai, hamtakula uhai pamoja na nyama. \v 24 Hamtakula, mtaimwaga nje kwenye ardhi kama maji. \v 25 Hamtakula, ili kwamba iweze kuwa vizur kwenu, na watoto wenu baada yenu, wakati mtafanya kile kilicho sahihi machoni pa Yahwe. \ No newline at end of file diff --git a/12/26.txt b/12/26.txt index 02b487d..956dd0f 100644 --- a/12/26.txt +++ b/12/26.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 26 Lakini mambo ambayo ni ya Yahwe ambayo mnayo na sadaka za viapo vyenu-mtachukua hizi na kwenda eneo ambalo Yahwe achagua. \v 27 Hapo mtatoa sadaka ya kuteketekezwa, nyama na damu, kwenye madhabahu ya Yahwe Mungu wenu, damu ya dhabihu zenu itamwangwa nje kwenye madhabahu ya Yahwe Mungu wenu, na mtakula nyama. -======= -\v 26 \v 27 Lakini mambo ambayo ni ya Yahwe ambayo mnayo na sadaka za viapo vyenu-mtachukua hizi na kwenda eneo ambalo Yahwe achagua. Hapo mtatoa sadaka ya kuteketekezwa, nyama na damu, kwenye madhabahu ya Yahwe Mungu wenu, damu ya dhabihu zenu itamwangwa nje kwenye madhabahu ya Yahwe Mungu wenu, na mtakula nyama. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 26 Lakini mambo ambayo ni ya Yahwe ambayo mnayo na sadaka za viapo vyenu-mtachukua hizi na kwenda eneo ambalo Yahwe achagua. \v 27 Hapo mtatoa sadaka ya kuteketekezwa, nyama na damu, kwenye madhabahu ya Yahwe Mungu wenu, damu ya dhabihu zenu itamwangwa nje kwenye madhabahu ya Yahwe Mungu wenu, na mtakula nyama. \ No newline at end of file diff --git a/12/29.txt b/12/29.txt index 4898810..ce35249 100644 --- a/12/29.txt +++ b/12/29.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 29 Wakati Yahwe Mungu wenu anapunguza mataifa kutoka kwenu, wakati mnaingia kuwafukuza, na mnawafukuza na kuishi katika nchi yao, \v 30 muwe makini wenyewe ili kwamba msinaswe kwa kuwafuata, baada ya kuangamizwa kutoka kwenu kunaswa katika kuchunguza miungu yao, katika kuuliza, "Kwa namna gani haya mataifa yanaabudu muingu yao? Nitafanya hivyo hivyo. -======= -\v 29 \v 30 Wakati Yahwe Mungu wenu anapunguza mataifa kutoka kwenu, wakati mnaingia kuwafukuza, na mnawafukuza na kuishi katika nchi yao, muwe makini wenyewe ili kwamba msinaswe kwa kuwafuata, baada ya kuangamizwa kutoka kwenu kunaswa katika kuchunguza miungu yao, katika kuuliza, "Kwa namna gani haya mataifa yanaabudu muingu yao? Nitafanya hivyo hivyo. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 29 Wakati Yahwe Mungu wenu anapunguza mataifa kutoka kwenu, wakati mnaingia kuwafukuza, na mnawafukuza na kuishi katika nchi yao, \v 30 muwe makini wenyewe ili kwamba msinaswe kwa kuwafuata, baada ya kuangamizwa kutoka kwenu kunaswa katika kuchunguza miungu yao, katika kuuliza, "Kwa namna gani haya mataifa yanaabudu muingu yao? Nitafanya hivyo hivyo. \ No newline at end of file diff --git a/12/31.txt b/12/31.txt index 13f3407..a303b0a 100644 --- a/12/31.txt +++ b/12/31.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 31 Hautafanya hivyo katika kumheshimu Yahwe Mungu wako, kwa kuwa kila kitu ambacho ni chukizo kwa Yahwe, mambo ambayo anayachukia- wamefanya haya na miungu yao, hata mnateketeza vijana wao na binti zao kwenye moto kwa ajili ya miungu yao. \v 32 Chochote ninakuamuru, chunguza. Usiongeze juu yake au kupunguza. -======= -\v 31 \v 32 Hautafanya hivyo katika kumheshimu Yahwe Mungu wako, kwa kuwa kila kitu ambacho ni chukizo kwa Yahwe, mambo ambayo anayachukia- wamefanya haya na miungu yao, hata mnateketeza vijana wao na binti zao kwenye moto kwa ajili ya miungu yao. Chochote ninakuamuru, chunguza. Usiongeze juu yake au kupunguza. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 31 Hautafanya hivyo katika kumheshimu Yahwe Mungu wako, kwa kuwa kila kitu ambacho ni chukizo kwa Yahwe, mambo ambayo anayachukia- wamefanya haya na miungu yao, hata mnateketeza vijana wao na binti zao kwenye moto kwa ajili ya miungu yao. \v 32 Chochote ninakuamuru, chunguza. Usiongeze juu yake au kupunguza. \ No newline at end of file diff --git a/13/01.txt b/13/01.txt index 69ef64d..b241998 100644 --- a/13/01.txt +++ b/13/01.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 1 Kama miongoni mwenu ainuka nabii au muota ndoto, \v 2 na kama anawapa ishara au maajabu, na kama ishara au maajabu yanatokea, kama alivyozungumza kwenu na kusema, " Ebu tuifuate miungu mingine, ambayo hatuijui, na tuiabudu. \v 3 Usisikilize maneno ya nabii huyo, au kwa huyo muota ndoto, kwa kuwa Yahwe Mungu wako anakujaribu kujua kama unampenda Yahwe Mungu wako kwa moyo wako wote na roho yako yote. -======= -\c 13 \v 1 \v 2 \v 3 Kama miongoni mwenu ainuka nabii au muota ndoto, na kama anawapa ishara au maajabu, na kama ishara au maajabu yanatokea, kama alivyozungumza kwenu na kusema, " Ebu tuifuate miungu mingine, ambayo hatuijui, na tuiabudu. Usisikilize maneno ya nabii huyo, au kwa huyo muota ndoto, kwa kuwa Yahwe Mungu wako anakujaribu kujua kama unampenda Yahwe Mungu wako kwa moyo wako wote na roho yako yote. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\c 13 \v 1 Kama miongoni mwenu ainuka nabii au muota ndoto, \v 2 na kama anawapa ishara au maajabu, na kama ishara au maajabu yanatokea, kama alivyozungumza kwenu na kusema, " Ebu tuifuate miungu mingine, ambayo hatuijui, na tuiabudu. \v 3 Usisikilize maneno ya nabii huyo, au kwa huyo muota ndoto, kwa kuwa Yahwe Mungu wako anakujaribu kujua kama unampenda Yahwe Mungu wako kwa moyo wako wote na roho yako yote. \ No newline at end of file diff --git a/13/04.txt b/13/04.txt index 3f4d209..bd1a1c4 100644 --- a/13/04.txt +++ b/13/04.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 4 Mtatembea baada ya Yahwe Mungu wenu, mheshimu, mzishike amri zake, na mtii sauti yake, na mtamwabudu na kushikamana naye. \v 5 Nabii huyo au muota ndoto atauwawa, kwa sababu amezungumza uasi dhidi ya Yahwe Mungu wenu, ambaye aliwaleta toka nchi ya Misri, na aliyewakomboa kutoka nyumba ya utumwa. Hivyo nabii anataka kuwaondoa katika njia ambayo Yahwe Mungu wenu aliwaamuru kutembea. Kwa hiyo weka mbali maouvu kutoka kwenu. -======= -\v 4 \v 5 Mtatembea baada ya Yahwe Mungu wenu, mheshimu, mzishike amri zake, na mtii sauti yake, na mtamwabudu na kushikamana naye. Nabii huyo au muota ndoto atauwawa, kwa sababu amezungumza uasi dhidi ya Yahwe Mungu wenu, ambaye aliwaleta toka nchi ya Misri, na aliyewakomboa kutoka nyumba ya utumwa. Hivyo nabii anataka kuwaondoa katika njia ambayo Yahwe Mungu wenu aliwaamuru kutembea. Kwa hiyo weka mbali maouvu kutoka kwenu. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 4 Mtatembea baada ya Yahwe Mungu wenu, mheshimu, mzishike amri zake, na mtii sauti yake, na mtamwabudu na kushikamana naye. \v 5 Nabii huyo au muota ndoto atauwawa, kwa sababu amezungumza uasi dhidi ya Yahwe Mungu wenu, ambaye aliwaleta toka nchi ya Misri, na aliyewakomboa kutoka nyumba ya utumwa. Hivyo nabii anataka kuwaondoa katika njia ambayo Yahwe Mungu wenu aliwaamuru kutembea. Kwa hiyo weka mbali maouvu kutoka kwenu. \ No newline at end of file diff --git a/13/06.txt b/13/06.txt index 4f867cb..8623ca0 100644 --- a/13/06.txt +++ b/13/06.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 6 Tuseme kwamba ndugu yako, mwana wa mama yako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa karibu nawe, au rafiki yako ambaye ni kama roho yako, kukushawishi kwa siri na kusema, "Acha tuende na tukaabudu miungu mingine ambayo hatujazijua, wala wewe wala mababu zako- \v 7 Miungu yeyote ya watu ambayo imewazunguka, karibu nanyi au mbali kutoka, kutoka mwisho wa dunia kwenda mwisho mwingine wa dunia. -======= -\v 6 \v 7 Tuseme kwamba ndugu yako, mwana wa mama yako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa karibu nawe, au rafiki yako ambaye ni kama roho yako, kukushawishi kwa siri na kusema, "Acha tuende na tukaabudu miungu mingine ambayo hatujazijua, wala wewe wala mababu zako- Miungu yeyote ya watu ambayo imewazunguka, karibu nanyi au mbali kutoka, kutoka mwisho wa dunia kwenda mwisho mwingine wa dunia. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 6 Tuseme kwamba ndugu yako, mwana wa mama yako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa karibu nawe, au rafiki yako ambaye ni kama roho yako, kukushawishi kwa siri na kusema, "Acha tuende na tukaabudu miungu mingine ambayo hatujazijua, wala wewe wala mababu zako- \v 7 Miungu yeyote ya watu ambayo imewazunguka, karibu nanyi au mbali kutoka, kutoka mwisho wa dunia kwenda mwisho mwingine wa dunia. \ No newline at end of file diff --git a/13/08.txt b/13/08.txt index 1454028..361621d 100644 --- a/13/08.txt +++ b/13/08.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 8 Usimkubali au kumsikiliza. Wala macho yako yasione huruma, wala hautamuacha akiba au kumficha. \v 9 Badala yake, utamuacha hakika; mkono wako utakuwa wa kwanza kumuua, na badae mkono wa watu wote. -======= -\v 8 \v 9 Usimkubali au kumsikiliza. Wala macho yako yasione huruma, wala hautamuacha akiba au kumficha. Badala yake, utamuacha hakika; mkono wako utakuwa wa kwanza kumuua, na badae mkono wa watu wote. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 8 Usimkubali au kumsikiliza. Wala macho yako yasione huruma, wala hautamuacha akiba au kumficha. \v 9 Badala yake, utamuacha hakika; mkono wako utakuwa wa kwanza kumuua, na badae mkono wa watu wote. \ No newline at end of file diff --git a/13/10.txt b/13/10.txt index 0eb8ff6..0061862 100644 --- a/13/10.txt +++ b/13/10.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 10 Mtamponda mpaka kufa kwa mawe, kwa sababu amejaribu kuwaondoa kutoka kwa Yahwe Mungu wenu, ambaye aliwatoa kutoka nchi ya Misri, nje ya nyumba ya utumwa. \v 11 Israel yote itasikia na kuogopa, na haitaendelea kufanya aina ya uovu miongoni mwenu. -======= -\v 10 \v 11 Mtamponda mpaka kufa kwa mawe, kwa sababu amejaribu kuwaondoa kutoka kwa Yahwe Mungu wenu, ambaye aliwatoa kutoka nchi ya Misri, nje ya nyumba ya utumwa. Israel yote itasikia na kuogopa, na haitaendelea kufanya aina ya uovu miongoni mwenu. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 10 Mtamponda mpaka kufa kwa mawe, kwa sababu amejaribu kuwaondoa kutoka kwa Yahwe Mungu wenu, ambaye aliwatoa kutoka nchi ya Misri, nje ya nyumba ya utumwa. \v 11 Israel yote itasikia na kuogopa, na haitaendelea kufanya aina ya uovu miongoni mwenu. \ No newline at end of file diff --git a/13/12.txt b/13/12.txt index 3bb565c..4d89102 100644 --- a/13/12.txt +++ b/13/12.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 12 Kama utasikia yeyote anasema kuhusu moja ya miji yenu, kwamba Yahwe Mungu wenu anawapa kuishi ndani yake. \v 13 Baadhi ya wenzuni waovu wamewaacha miongoni mwenu na kuacha kwa mbali wakazi wa miji yao na kusema, "Acha tuende na kuabudu miungu mingine ambayo hamjaijua. \v 14 Basi utaichunguza uthibitisho, kufanya utafiti na kuipeleleza kwa kina. Wakati unagundua kwamba ni kweli na hakuna shaka kwamba chukizo hilo lililofanyika miongoni mwenu, kisha utachukua hatua. -======= -\v 12 \v 13 \v 14 Kama utasikia yeyote anasema kuhusu moja ya miji yenu, kwamba Yahwe Mungu wenu anawapa kuishi ndani yake. Baadhi ya wenzuni waovu wamewaacha miongoni mwenu na kuacha kwa mbali wakazi wa miji yao na kusema, "Acha tuende na kuabudu miungu mingine ambayo hamjaijua. Basi utaichunguza uthibitisho, kufanya utafiti na kuipeleleza kwa kina. Wakati unagundua kwamba ni kweli na hakuna shaka kwamba chukizo hilo lililofanyika miongoni mwenu, kisha utachukua hatua. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 12 Kama utasikia yeyote anasema kuhusu moja ya miji yenu, kwamba Yahwe Mungu wenu anawapa kuishi ndani yake. \v 13 Baadhi ya wenzuni waovu wamewaacha miongoni mwenu na kuacha kwa mbali wakazi wa miji yao na kusema, "Acha tuende na kuabudu miungu mingine ambayo hamjaijua. \v 14 Basi utaichunguza uthibitisho, kufanya utafiti na kuipeleleza kwa kina. Wakati unagundua kwamba ni kweli na hakuna shaka kwamba chukizo hilo lililofanyika miongoni mwenu, kisha utachukua hatua. \ No newline at end of file diff --git a/13/15.txt b/13/15.txt index 0951d5e..362d1cd 100644 --- a/13/15.txt +++ b/13/15.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 15 Utawashambulia hakika wenyeji wa mji huo kwa makali ya upanga. Utaangamiza kabisa na watu wote walio ndani yake, pamoja na mifugo yake, pamoja na makali ya upanga. \v 16 Utakusanya nyara zote kutoka katikati mwa mitaa yake na utuunguza mji, pamoja na nyara zake zote - kwa kuwa Yahwe Mungu wako. Mji utakuwa mchungu wa uharibifu milele; haupaswi kujengwa tena. -======= -\v 15 \v 16 Utawashambulia hakika wenyeji wa mji huo kwa makali ya upanga. Utaangamiza kabisa na watu wote walio ndani yake, pamoja na mifugo yake, pamoja na makali ya upanga. Utakusanya nyara zote kutoka katikati mwa mitaa yake na utuunguza mji, pamoja na nyara zake zote - kwa kuwa Yahwe Mungu wako. Mji utakuwa mchungu wa uharibifu milele; haupaswi kujengwa tena. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 15 Utawashambulia hakika wenyeji wa mji huo kwa makali ya upanga. Utaangamiza kabisa na watu wote walio ndani yake, pamoja na mifugo yake, pamoja na makali ya upanga. \v 16 Utakusanya nyara zote kutoka katikati mwa mitaa yake na utuunguza mji, pamoja na nyara zake zote - kwa kuwa Yahwe Mungu wako. Mji utakuwa mchungu wa uharibifu milele; haupaswi kujengwa tena. \ No newline at end of file diff --git a/13/17.txt b/13/17.txt index 9751d5f..62d9f1b 100644 --- a/13/17.txt +++ b/13/17.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 17 Hakuna hata kimoja kati ya vitu hivyo vimewekwa wakfu kwa ajili ya kuangamizwa vinapaswa kugadamana kwenye mkono wako. Hii inapaswa kuwa kesi, ili kwamba Yahwe atageuka kutoka kwenye ukali wa hasira yake, kumuonyesha rehema, kuwa na huruma kwako, na kukufanya wewe kuogezeka katika idadi, kama alivyoapa kwa baba zako. \v 18 Atafanya hivi kwa sababu unasikiliza sauti ya Yahwe Mungu wako, kuzishika amri zake ambazo ninakuamuru leo, kufanya kile kilicho sahihi mbele ya macho ya Yahwe Mungu wako. -======= -\v 17 \v 18 Hakuna hata kimoja kati ya vitu hivyo vimewekwa wakfu kwa ajili ya kuangamizwa vinapaswa kugadamana kwenye mkono wako. Hii inapaswa kuwa kesi, ili kwamba Yahwe atageuka kutoka kwenye ukali wa hasira yake, kumuonyesha rehema, kuwa na huruma kwako, na kukufanya wewe kuogezeka katika idadi, kama alivyoapa kwa baba zako. Atafanya hivi kwa sababu unasikiliza sauti ya Yahwe Mungu wako, kuzishika amri zake ambazo ninakuamuru leo, kufanya kile kilicho sahihi mbele ya macho ya Yahwe Mungu wako. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 17 Hakuna hata kimoja kati ya vitu hivyo vimewekwa wakfu kwa ajili ya kuangamizwa vinapaswa kugadamana kwenye mkono wako. Hii inapaswa kuwa kesi, ili kwamba Yahwe atageuka kutoka kwenye ukali wa hasira yake, kumuonyesha rehema, kuwa na huruma kwako, na kukufanya wewe kuogezeka katika idadi, kama alivyoapa kwa baba zako. \v 18 Atafanya hivi kwa sababu unasikiliza sauti ya Yahwe Mungu wako, kuzishika amri zake ambazo ninakuamuru leo, kufanya kile kilicho sahihi mbele ya macho ya Yahwe Mungu wako. \ No newline at end of file diff --git a/14/01.txt b/14/01.txt index 874e75f..5a40936 100644 --- a/14/01.txt +++ b/14/01.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 1 Ninyi ni watu wa Yahwe Mungu wenu. Msijikate wenyewe, wala kunyoa sehemu za nyuso zenu kwa ajili ya wafu. \v 2 Kwa kuwa mu taifa lilowekwa wakfu kwa Yahwe Mungu wenu, na Yahwe amewachagua kuwa watu kwa ajili ya urithi wake, zaidi kuliko watu wote walio juu ya uso wa dunia. -======= -\c 14 \v 1 \v 2 Ninyi ni watu wa Yahwe Mungu wenu. Msijikate wenyewe, wala kunyoa sehemu za nyuso zenu kwa ajili ya wafu. Kwa kuwa mu taifa lilowekwa wakfu kwa Yahwe Mungu wenu, na Yahwe amewachagua kuwa watu kwa ajili ya urithi wake, zaidi kuliko watu wote walio juu ya uso wa dunia. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\c 14 \v 1 Ninyi ni watu wa Yahwe Mungu wenu. Msijikate wenyewe, wala kunyoa sehemu za nyuso zenu kwa ajili ya wafu. \v 2 Kwa kuwa mu taifa lilowekwa wakfu kwa Yahwe Mungu wenu, na Yahwe amewachagua kuwa watu kwa ajili ya urithi wake, zaidi kuliko watu wote walio juu ya uso wa dunia. \ No newline at end of file diff --git a/14/03.txt b/14/03.txt index 237cb57..57394ab 100644 --- a/14/03.txt +++ b/14/03.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 3 Hampaswi kula kitu chochote kilicho chukizo. \v 4 Hawa ni wanyama ambao mnaweza kula: ng'ombe, kondoo, mbuzi, \v 5 kulungu, paa, kulungu wa kiume, mbuzi wa mwituni, paa mweupe na pofu na kondoo wa mlimani -======= -\v 3 \v 4 \v 5 Hampaswi kula kitu chochote kilicho chukizo. Hawa ni wanyama ambao mnaweza kula: ng'ombe, kondoo, mbuzi, kulungu, paa, kulungu wa kiume, mbuzi wa mwituni, paa mweupe na pofu na kondoo wa mlimani ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 3 Hampaswi kula kitu chochote kilicho chukizo. \v 4 Hawa ni wanyama ambao mnaweza kula: ng'ombe, kondoo, mbuzi, \v 5 kulungu, paa, kulungu wa kiume, mbuzi wa mwituni, paa mweupe na pofu na kondoo wa mlimani \ No newline at end of file diff --git a/14/06.txt b/14/06.txt index 1c4cf9b..893ca73 100644 --- a/14/06.txt +++ b/14/06.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 6 Mnaweza kula wanyama wowote ambao wamegawanyika kwato, ambaye ana kwato zilizogawanyika mara mbili, na utafuna macheuo. \v 7 Hata hivyo, hampaswi kula baadhi ya wanyama ambao utafuna macheuo au ambao wana kwato zilizogawanyika mara mbili: ngamia, sungura, pomono, kwa sababu watafuna macheuo lakini hawajagawanyika kwato, ni najisi kwenu. -======= -\v 6 \v 7 Mnaweza kula wanyama wowote ambao wamegawanyika kwato, ambaye ana kwato zilizogawanyika mara mbili, na utafuna macheuo. Hata hivyo, hampaswi kula baadhi ya wanyama ambao utafuna macheuo au ambao wana kwato zilizogawanyika mara mbili: ngamia, sungura, pomono, kwa sababu watafuna macheuo lakini hawajagawanyika kwato, ni najisi kwenu. ->>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc +\v 6 Mnaweza kula wanyama wowote ambao wamegawanyika kwato, ambaye ana kwato zilizogawanyika mara mbili, na utafuna macheuo. \v 7 Hata hivyo, hampaswi kula baadhi ya wanyama ambao utafuna macheuo au ambao wana kwato zilizogawanyika mara mbili: ngamia, sungura, pomono, kwa sababu watafuna macheuo lakini hawajagawanyika kwato, ni najisi kwenu. \ No newline at end of file