Fri Mar 30 2018 17:59:06 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2018-03-30 17:59:06 +03:00
parent d68877015c
commit edc15f57e9
2 changed files with 2 additions and 0 deletions

1
26/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Unapaswa kusema mbele ya Yahwe Mungu wako, “Babu yangu alikuwa Mwaremi mzururaji. Alikwenda chini hadi Misri na kukaa kule, na idadi ya watu wake ilikuwa chache. Kule akawa taifa kubwa, lenye nguvu na idadi kubwa.

1
26/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 \v 7 Wamisri walitutendea vibaya na kututesa. Walitulazimisha kufanya kazi za watumwa. Tulimlilia Yahwe, Mungu wa baba zetu, naye akasikia sauti yetu na kuona mateso yetu, kazi zetu na mateso yetu.