Thu Feb 22 2018 08:27:37 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)
This commit is contained in:
parent
36d92c69df
commit
e1fd571042
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 13 \v 14 \v 15 "Sasa inuka na uende kwenye kijito cha Zeredi". Kwa hiyo tulienda kuvuka kijito cha Zeredi. Sasa tangu siku ambapo tulikuja kutoka Kadesh Barnea mpaka tukavuka kijito cha Zeredi, ilikuwa miaka thelathini na nane. Ilikuwa kwa wakati huo kizazi chote cha watu waliofaa kupigana walikuwa wamekwisha ondoka kwa watu, kama Yahweh alivyokuwa ameapa kwao. Zaidi ya yote, mkono wa Yahweh ulikuwa kinyume na kizazi hicho ili kuweza kuwaangamiza kutoka kwa watu mpaka walio
|
||||
\v 13 \v 14 \v 15 "Sasa inuka na uende kwenye kijito cha Zeredi". Kwa hiyo tulienda kuvuka kijito cha Zeredi. Sasa tangu siku ambapo tulikuja kutoka Kadesh Barnea mpaka tukavuka kijito cha Zeredi, ilikuwa miaka thelathini na nane. Ilikuwa kwa wakati huo kizazi chote cha watu waliofaa kupigana walikuwa wamekwisha ondoka kwa watu, kama Yahweh alivyokuwa ameapa kwao. Zaidi ya yote, mkono wa Yahweh ulikuwa kinyume na kizazi hicho ili kuweza kuwaangamiza kutoka kwa watu mpaka walipoondoka.
|
Loading…
Reference in New Issue