diff --git a/09/19.txt b/09/19.txt index b3444f7..2537dcf 100644 --- a/09/19.txt +++ b/09/19.txt @@ -1 +1 @@ -\v 19 \v 20 Kwa kuwa nilikuwa nimeogopa hasira na \ No newline at end of file +\v 19 \v 20 Kwa kuwa nilikuwa nimeogopa hasira na gadhabu kali ambayo Yahweh alikuwa amekasirika vya kutosha dhidi yenu kuwaangamiza. Lakini Yahweh alinisikiliza mimi kwa wakati hup pia. Yahweh alikuwa na hasira nyingi kwa Aaroni kwa kusudi la kumuangamiza; pia niliomba kwa ajili ya Aaroni kwa wakati huohuo. \ No newline at end of file