Mon Apr 02 2018 18:13:43 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2018-04-02 18:13:44 +03:00
parent 71a80eac0d
commit d2db68629d
4 changed files with 6 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 \v 5 Sikiliza, Israel: Yahweh Mungu wetu ni mmoja. Mtapenda Yahweh Mungu wenu kwa moyo wenu wote, kwa roho zenu zote, na kwa akili zenu zote.
\v 4 \v 5 Sikiliza, Israel: Yahwe Mungu wetu ni mmoja. Mtampenda Yahwe Mungu wenu kwa moyo wenu wote, kwa roho zenu zote, na kwa akili zenu zote.

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 \v 7 Maneno ninayowaamuru ninyi leo yatakuwa katika moyo wenu; na mtayafundisha kwa bidii kwa watoto wenu, mtayazungumza wakati mkaapo katika nyumba zenu, wakati mlalapo, na wakati muinukapo.
\v 6 \v 7 Maneno ninayowaamuru ninyi leo yatakuwa katika moyo wenu; na mtayafundisha kwa bidii kwa watoto wenu, mtayazungumza wakati mkaapo katika nyumba zenu, wakati mlalapo, na wakati mwinukapo.

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 \v 9 Utazifunga kama ishara juu ya mkono wako, nayo yatakuwa utepe kati ya macho yako. Utaziandika katika miimo ya mlango ya nyumba yako na katika malango.
\v 8 \v 9 Utazifunga kama ishara juu ya mkono wako, nayo yatakuwa utepe kati ya macho yako. Utaziandika kwenye miimo ya mlango ya nyumba yako na kwenye malango.

View File

@ -130,6 +130,9 @@
"05-31",
"05-32",
"06-01",
"06-03",
"06-04",
"06-06",
"12-07",
"16-01",
"16-03",