diff --git a/16/15.txt b/16/15.txt new file mode 100644 index 0000000..90bd35e --- /dev/null +++ b/16/15.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 15 Kwa siku saba unapaswa kuangalia sherehe ya Yahwe Mungu wako katika eneo ambalo Yahwe atachagua, kwa sababu Yahwe Mungu wako atakubariki katika mavuno yako yote na kazi ya mikono yako yote, na unapaswa kuwa na furaha kabisa. \ No newline at end of file