Fri Mar 30 2018 18:29:06 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2018-03-30 18:29:07 +03:00
parent 0e6de0ac42
commit 785b90f642
5 changed files with 6 additions and 0 deletions

1
29/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 29 \v 1 Haya ni maneno ambayo Yahwe alimuamuru Musa kuwaambia watu wa Israeli katika nchi ya Moabu, maneno ambayo yaliongezwa katika agano alilolifanya pamoja nao kule Horebu.

1
29/02.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 2 \v 3 \v 4 Musa aliwaita Waisraeli wote na kuwaambia, “Mmeona kila kitu ambacho Yahwe alifanya mbele ya macho yenu katika nchi ya Misri kwa Farao, kwa watumishi wake wote, na kwa nchi yake yote mateso makubwa ambayo macho yenu yaliona, ishara, pamoja na ile miujiza mikubwa. Lakini mpaka leo Yahwe hajawapatia moyo wa kufahamu, macho ya kuona, au masikio ya kusikia.

2
29/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\v 5 \v 6 Nimewaongoza kwa miaka arobaini jangwani; mavazi yenu hayakuchakaa juu yenu, na ndala zenu hazikuchakaa miguuni mwenu.
Hamkula mkate wowote, na wala hamkunywa divai yoyote au kinywaji chochote chenye ulevi, ili kwamba muweze kujua kuwa mimi ni Yahwe Mungu wenu.

1
29/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 \v 8 \v 9 Mlipokuja mahali hapa, Sihoni, mfalme wa Heshboni, na Ogu, mfalme wa Bashani, walikuja dhidi yetu kutupiga, na tukawapiga. Tulichukua ardhi yao na kuwapa kama urithi Wareubeni, kwa Wagadi, na kwa nusu ya kabila ya Manase. Kwa hiyo shikilia maneno ya agano hili na kuyatenda, ili ufanikiwe katika kila kitu ufanyacho.

1
29/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 \v 11 Nyie wote, mnasimama leo, mbele ya Yahwe Mungu wenu; machifu wenu, makabila yenu, wazee wenu, na maafisa wenu wanaume wote wa Israeli, watoto wenu, wake zenu, na wageni ambao wamo miongoni wa kambi yenu, kutoka kwa yule anayekata mbao zenu mpaka kwa yule atekaye maji.