Sat Mar 31 2018 14:34:28 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2018-03-31 14:34:29 +03:00
parent a8e05a8372
commit 72b5470e3a
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
Wazao wote wa kwanza wa kiume katika wanyama na mifugo wako unapaswa uwatenge kwa Yahwe Mungu wako. Hautafanya kazi na mzao wa kwanza wa wanyama wako wala kumnyoa mzao wa kwanza wa mifugo wako. Unapaswa umle mzaliwa wa kwanza mbele ya Yahwe Mungu wako kila mwaka katika eneo ambalo Yahwe atachagua, wewe na nyum
\v 19 \v 20 \v 21 Wazao wote wa kwanza wa kiume katika wanyama na mifugo wako unapaswa uwatenge kwa Yahwe Mungu wako. Hautafanya kazi na mzao wa kwanza wa wanyama wako wala kumnyoa mzao wa kwanza wa mifugo wako. Unapaswa umle mzaliwa wa kwanza mbele ya Yahwe Mungu wako kila mwaka katika eneo ambalo Yahwe atachagua, wewe na nyumba yako. Kama ina kasoro yoyote- kwa mfano, kama ni kilema au kipofu, au ana kasoro yoyote- haupaswi kumtoa dhabihu kwa Yahwe Mungu wako.

1
15/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Utamla ndani ya malango yako; mtu asiye najisi na aliye najisi ni sawa