Thu Feb 22 2018 15:24:06 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)
This commit is contained in:
parent
d86bee3396
commit
59a4297336
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 30 \v 31 Lakini Sihon, mfalme wa Heshbon, asingeturuhusu kupitia kwake; kwa kuwa Yahweh Mungu wenu ameifanya ngumu akili yake na kufanya moyo wak
|
||||
\v 30 \v 31 Lakini Sihon, mfalme wa Heshbon, asingeturuhusu kupitia kwake; kwa kuwa Yahweh Mungu wenu ameifanya ngumu akili yake na kufanya moyo wake kuwa ukaidi, ili kwamba aweze kumshinda kwa nguvu zake, ambayo amekwisha kufanya leo. Yahweh alisema kwangu, "tazama, Nimeanza kumuokoa Sihoni na nchi yake mbele yako; kuanza kuimiliki, ili kusudi muweze kumiliki nchi yake.
|
Loading…
Reference in New Issue