From 55fa48bb3495620fbdbba59412da5f5f5e0f0b54 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Fri, 30 Mar 2018 20:06:25 +0300 Subject: [PATCH] Fri Mar 30 2018 20:06:24 GMT+0300 (E. Africa Standard Time) --- 31/04.txt | 1 + 31/07.txt | 1 + 31/09.txt | 1 + 3 files changed, 3 insertions(+) create mode 100644 31/04.txt create mode 100644 31/07.txt create mode 100644 31/09.txt diff --git a/31/04.txt b/31/04.txt new file mode 100644 index 0000000..77e13a2 --- /dev/null +++ b/31/04.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 4 \v 5 \v 6 Yahwe atawafanya kwao kama alivyofanya kwa Sihoni na kwa Ogu, wafalme wa Waamori, na kwa nchi yao, aliyoiangamiza. Yahwe atakupatia ushindi juu yao utakapokutana nao vitani, nawe utafanya kwao yote ntakayokuamuru. Uwe hodari na mwenye ujasiri mwema, usiogope, na usiwaogope; kwa maana Yahwe Mungu wako, ni yeye aendaye kabla yako; hatakuangusha wala kukuacha.” \ No newline at end of file diff --git a/31/07.txt b/31/07.txt new file mode 100644 index 0000000..00e9dd2 --- /dev/null +++ b/31/07.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 7 \v 8 Musa akamwita Yoshua na akamwambia machoni pa Israeli yote, “Uwe hodari na mwenye ujasiri mwema, kwa kuwa utaondoka na hawa watu katika nchi ambayo Yahwe ameapa kwa mababu zao kuwapatia; utafanya wairithi. Yahwe, yeye ndiye atakwenda kabla yako; atakuwa pamoja nawe; hatakuangusha wala hatakutelekeza; usiogope, usivunjike moyo.” \ No newline at end of file diff --git a/31/09.txt b/31/09.txt new file mode 100644 index 0000000..dca7a6d --- /dev/null +++ b/31/09.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 9 \v 10 \v 11 Musa aliandika sheria hii na kuwapatia makuhani, wana wa Walawi, ambao walibeba sanduku la agano la Yahwe; pia aligawa nakala zake kwa wazee wote wa Israeli. Musa aliwaamuru na kusema, “Katika kila mwisho wa miaka saba, kwa muda uliowekwa wa kudumu kwa ajili ya kufuta madeni, katika Sikukuu ya Vibanda, ambapo Israeli yote imekuja kujitokeza mbele ya Yahwe Mungu wako katika mahali atakayochagua kuwa patakatifu pake, utasoma sheria hii mbele ya Israeli yote wakisikia. \ No newline at end of file