Fri Mar 30 2018 18:05:06 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2018-03-30 18:05:06 +03:00
parent 82cca7141d
commit 4658581b3e
2 changed files with 2 additions and 0 deletions

1
27/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 \v 7 \v 8 Unatakiwa kujenga dhabahu ya Yahwe Mungu wako kwa mawe yasiyokuwa na kazi; unatakiwa kutoa dhabihu ya kuteketeza juu yake kwa Yahwe Mungu wako, nawe utatoa sadaka ya pamoja na utakula pale; utafurahia mbele ya Yahwe Mungu wako. Utaandika juu ya mawe maneno yote ya sheria hii kwa wazi.

1
27/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 \v 10 Musa na makuhani, Walawi, waliongea na Waisraeli wote na kusema, “Nyamazeni na sikilizeni Israel: Leo mmekuwa watu wa Yahwe Mungu wenu. Mnapaswa basi kutii sauti ya Yahwe Mungu wenu na kutii amri na sheria zake ambazo ninawaamuru leo.”