Fri Mar 30 2018 20:16:24 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2018-03-30 20:16:25 +03:00
parent 3c2707dcf9
commit 33e212f772
2 changed files with 2 additions and 0 deletions

1
31/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 \v 28 \v 29 Maana nafahamu uasi wenu na shingo zenu ngumu; tazama, maadamu nipo hai pamoja nanyi hata leo, mmekuwa waasi dhidi ya Yahwe; itakuaje baada ya mimi kufa? Nikusanyieni wazee wote wa makabila yenu, na maafisa wenu, ili nizungumze maneno haya masikioni mwao na kuziita mbingu na nchi kushuhudia dhidi yao. Kwa maana najua baada ya kifo changu mtajiharibu kabisa na kugeuka kuiacha njia niliyowaamuru; maafa yatawakumba katika siku zijazo. Haya yatatokea kwa sababu mtafanya yaliyo maovu machoni pa Yahwe, ili kumchokoza katika hasira kwa mikono ya kazi yenu.”

1
31/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Musa alinena masikioni mwa kusanyiko lote la Israeli maneno yote ya wimbo huu hadi yalipokamilika.